Ndivyo ilivyo, ndivyo ilivyopangwa iwe ivyo na Mungu mwenyewe, Wema utakapoonekana upuuzi, na uovu ndio wema then Mungu atachungulia duniani na kuona hakuna amfaaye. Atashusha mapigo moja kwa kila mwaka, kama yale ya Farao. Ufunuo umeelezea. Usiofu ndugu, Mungu ameshapanga na itakua. Wewe kaa kwenye hatima yako uliopangiwa, usiwatikise wengine, maana wapo kwenye hatima zao walizopangiwa. Usiwacheke, wala usiwaonee huruma. Ishi kwa KIASI.