Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nilijiunga Jamii Forum mwaka 2010, nikapoteza taarifa muhimu za account yangu nikaja kuwa na account nyingine mwaka 2015 ninayoitumia hadi sasa.
Kama ningekuwa sehemu ya uongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jamii Forum ndo ingekuwa sehemu ya kwanza kuchukua fikra pevu na kuenda kuzifanyia kazi kwa maendeleo ya Nchi yetu.
Naweza kusema moja ya sababu ikiyofanya Jamii Forum kuwa jukwaa bora zaidi ni mtu kuruhusiwa kuingiza taarifa ambazo sio sahihi. Hili limewapa watu nafasi ya kuwa huru kutoa mawazo yao na michango yao bila uoga wowote.
Sifa nyingine ya JF ni watu kupeana ukweli kwa uhuru. Humu ukileta tabia za kichawa watu watakusema, ulileta tabia za kidini watu watakusema, ukileta kujipendekeza utapewa ukweli wako.
Nilitegemea sana mamlaka zetu zingetumia Forum hii kupata think tank wa kuweka mipango kabambe ya Taifa hili.
Hongereni sana JF!