shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
no ex no next for me jf niushibwada tuu hamna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
min -me uliniuliza kivipi? Jibu hili hapaBinafsi naona Jamiiforums ilikua bora sana miaka ya kuanzia Jamboforums hadi 2017 ilipo anza kupoteza maudhui yake, na pia vijana wa hovyo walipo anza kupata internet kwa urahisi.
Adabu umekosekana na pamekua na vijana wa hovyo grade one, hata kupelekea wakonge kuacha kushusha nondo kwasababu mvuto na hoja zimepungua.
Humu ndani skuizi matusi na kuzodoana ndio vimetamalaki kuliko kujenga hoja mazee...
Skuizi watu hawaheshimiani kabisa humu Jf na hata usiri umekua haupo kabisa.
Kukikuwa na mwamba BAK huyu kwangu ndo member bora kabisa kuwahi kutokea katika hili jukwaa. Saivi hayupo sijui alishafariki ila kama yupo natamani sana siku akirudiMimi naskitika role models wangu walionivuta kuja humu leo wanaonekana kwa hadubini. Sijajua shida hasa ni nini. Perhaps u bize au jf imeingiliwa kinyume na maumbile hivyo mahudhui yake ni irrelevant kwao. Big up sn MSHANA, huyu mwamba alikuwa mtu kweli kweli but now he's found nowhere.
Nakazia hoja. Siku hizi kweli nyuzi nyingi more than 70% zinahusiana na mambo yanayofanyika au yaliyafanyika ya kijinsia e.g. ulaji wa tunda kimasihara, kulawiti/kutifua mitaro, madada poa, michepuko, talaka/kuachana, mipasho,kutongozana na umbea. Nyuzi zilizobakia kwa sasa zenye kuleta walau kutafakari (motomoto) ni za vita e.g. HAMAS vs IDF, Lebanon/Hezbollah vs Israel, Iran, DRC- Congo, Ukraine vs Russia ilhali nyuzi nyingine ni mambo ya siasa CCM na Chadema. Hatupati kuona tena nyuzi e.g. kuhusu mazingira, vituko, maswali ya kielimishana au hatuwaoni tena wale nguli wa kuanzisha mijadala tofauti-tofauti e.g. akina Mshana Jr n.k. sijui wamesafiri au vipi.(au labda mm nimepotea jukwaa?)Binafsi naona Jamiiforums ilikua bora sana miaka ya kuanzia Jamboforums hadi 2017 ilipo anza kupoteza maudhui yake, na pia vijana wa hovyo walipo anza kupata internet kwa urahisi.
Adabu umekosekana na pamekua na vijana wa hovyo grade one, hata kupelekea wakonge kuacha kushusha nondo kwasababu mvuto na hoja zimepungua.
Humu ndani skuizi matusi na kuzodoana ndio vimetamalaki kuliko kujenga hoja mazee...
Skuizi watu hawaheshimiani kabisa humu Jf na hata usiri umekua haupo kabisa.
Sana.. uadilifu, umakinifu, udadisi, uvumilivu, weledi, utafiti, ukweli ni mambo yamepewa kisogo na kizazi cha Sasa Cha wana Jf.Kuna vitu vimebadilika JF siyo ya wakati ule