Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kama kuna sehemu ya kuwasiliana na BoomPlay fanya kuwacheck waifute wao.. Kuna baadhi ya website/makampuni hawakupi nafasi ya kufuta taarifa zako (hii imekaa kibiashara zaidi) mpaka uwacontact na uwape sababu kwanini unataka kuwakimbia.. Ndiyo maana kuna haja ya kila mtu kusoma T&Cs au Policy za sehemu unayotaka kujiunga ili baadae usije kulaumu kumbe wewe mwenyewe ulijifunga kwa kuclick tu neno moja "ACCEPT".Nachokijua kuna baadhi ya social media sites na platforms zilizo na kitufe cha 'delete account' pale mtumiaji anapohitaji. Mfano social media za facebook, twitter na instagram
Kuna social media nyingine ambazo hazina kitufe cha 'delete account' kama vile Jamiiforums
Vipi kwa upande wa account ya boomplay music isiyo na matumizi? Ninaweza kuifuta?
Wameweka e mail yao mkuu, napata wasiwasi kama nitikiwatumia ujumbe wataweza kurespond kwa wakati kwa sababu ya wingi wa wafuasi waoKama kuna sehemu ya kuwasiliana na BoomPlay fanya kuwacheck waifute wao.. Kuna baadhi ya website/makampuni hawakupi nafasi ya kufuta taarifa zako (hii imekaa kibiashara zaidi) mpaka uwacontact na uwape sababu kwanini unataka kuwakimbia.. Ndiyo maana kuna haja ya kila mtu kusoma T&Cs au Policy za sehemu unayotaka kujiunga ili baadae usije kulaumu kumbe wewe mwenyewe ulijifunga kwa kuclick tu neno moja "ACCEPT".
Taarifa hizi umezipata wapi mkuu, weka chanzo hapaKama haipo basi inakuja, kuanzia Dec 2023 kila app iliyo Google Play inabidi ikupe uhuru wa kufuta account yako.
Hii sheria ipo kwa upande wa Apple tayari so kama una device ya Apple karibu ingia kwenye app kutakuwa na sehemu ya kufuta account, pia chunguza website yao kama hiyo kitu ipo ukilogin kwenye website.
Hicho ki portion cha delete account walikiondoa nadhani. HakipoJinsi ya kufuta akaunti yako ya Boomplay (Kwa watumiaji wa iOS tu)
Fungua App Bofya kwenye alama ya picha yako ambayo ni Akaunti yako Bofya kwenye alama ya Setting juu upande wa kulia Bofya kwenye kipengele cha Delete Account Fata soma Maelezo kisha bofya Delete. Hapo utakua umefuta...transsnet.freshdesk.com
To confirm kama wata respond au laah u have to try mkuu usiconclude tu kabla hujawasiliana nao hata... Ila ukiona meseji zinakuja za AUTOREPLY kutoka kwa email yao hapo achana nao..Wameweka e mail yao mkuu, napata wasiwasi kama nitikiwatumia ujumbe wataweza kurespond kwa wakati kwa sababu ya wingi wa wafuasi wao
Ngoja nijaribu mkuu, nitaleta mrejeshoTo confirm kama wata respond au laah u have to try mkuu usiconclude tu kabla hujawasiliana nao hata... Ila ukiona meseji zinakuja za AUTOREPLY kutoka kwa email yao hapo achana nao..
Umejaribu kwenye device ya Apple? Sidhani kama wanaweza kuondoa maana ni kanuni za kuwa na App kwenye App Store ukikiuka inaweza kupelekea App kuondolewa.Hicho ki portion cha delete account walikiondoa nadhani. Hakipo
Walijibu mkuu. Lakini walidai kuwa Android haina uwezo wa kufuta taatifa za mtu kwenye boomplay system, ikiwemo account kwa ujumlaTo confirm kama wata respond au laah u have to try mkuu usiconclude tu kabla hujawasiliana nao hata... Ila ukiona meseji zinakuja za AUTOREPLY kutoka kwa email yao hapo achana nao..
Mkuu, hizo taarifa umepata kwenye chanzo kipi? Na je itakuwa vipi kwenye accounts za JF kama uhuru wa kufuta IDs utakuwepo?Umejaribu kwenye device ya Apple? Sidhani kama wanaweza kuondoa maana ni kanuni za kuwa na App kwenye App Store ukikiuka inaweza kupelekea App kuondolewa.
Google Play kanuni inakuja mwisho wa mwaka.
App yoyote ambayo iko Play itabidi iwe na uwezo wa kufunga account na kudelete data kupitia app na tovuti. Kama hii itafuta pia ID nadhani ni maamuzi ya JF zaidi.Mkuu, hizo taarifa umepata kwenye chanzo kipi? Na je itakuwa vipi kwenye accounts za JF kama uhuru wa kufuta IDs utakuwepo?
Source mkuu, tafadhari