ijoz
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 731
- 715
Wataalamu, poleni na majukumu, hongereni kwa kazi....
Jamani, mi nimewahi kutana na watu wakinieleza kuwa wapo baadhi ya wanandoa ambao mmoja katika hiyo ndoa ni HIV +ve wakati wingine ni -ve., na wanaendelea kuishi pamoja na kushirikiana kimapenzi bila kutumia condom....! kwamba licha ya kwenda kufanya checkups zaidi ya mara tatu, hali imekuwa hivyo, mmoja ni +ve, mwingine ni -ve.
Sasa, ningependa kupata ufafanuzi,, ni kweli hali hiyo inawezekana, ni kweli kuwa kuna watu hawawezi kupata maambukizi ya HIV...?
Pia, kama situation ni kweli kama inavyoelezwa kuwa mmoja ni +ve na mwingine ni -ve, je huyo mwenye -ve hata akisex na mtu mwingine (bila kutumia condom) hatapata maambukizi...?
Ufafanuzi wenu ni muhimu sana wandugu...
BTW kama hoja kama hiyo ilikwisha jadiliwa naomba msamaha, sijabahatika kuiona...
Wasalaamu...
IJOZ