Hiyo unatakiwa kwenda ritta. Nenda na cheti chako cha kuzaliwa pamoja na cheti chochote cha baba yako ambacho kilitolewa kabla hujazaliwa. Mf. Cheti cha ndoa, cha shule etc. Ukifika pale utapewa maelekezo.
Deedpoll inatumika kubalisha jina lako sio jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa.