Inawezekana kubadilisha jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa?

Inawezekana kubadilisha jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa?

sumbwasumbwa

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Jamani hivi inawezekana kubadilisha jina la baba lililoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
 
Yah......kuna kitu kinaitwa deed poll.......but wanasheria wanaweza kukusaidia zaidi.......
 
Hiyo unatakiwa kwenda ritta. Nenda na cheti chako cha kuzaliwa pamoja na cheti chochote cha baba yako ambacho kilitolewa kabla hujazaliwa. Mf. Cheti cha ndoa, cha shule etc. Ukifika pale utapewa maelekezo.
Deedpoll inatumika kubalisha jina lako sio jina la baba kwenye cheti cha kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom