Card reader rule ni ile ile mkuu, kama itatumia usb 2.0 ina maana mwisho ni 480mbps (60MBps) hivyo kama una Highend sd card yenye speed zaidi huta itumia kwa speed yote, Sema hata hio 60MBps inatosha kwa Movies za kawaida unless u naangalia Movies za 4K ama 8k.
Za usb 2 ni rahisi kuzipata, almost zote utakazopata mtaani ni usb 2.0. Ila usb 3.0 ambazo zina speed ngumu kuzipata.
Ukicheki online zimejaa kibao hapa Tz.
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near you
www.zoomtanzania.com
Huyu jamaa anaclaim yake ni usb 3.0
Namna ya kutest, Hakikisha una pc ama simu yenye cable ya otg.
Hamisha vitu kwenye simu kwenda memory card kwa njia ya kawaida soma speed yake mfano 20MBps
Then chomeka otg cable, weka memory card kwenye reader kisha chomeka kwenye simu Hamisha tena kitu Angalia speed kama ni ile ile ina maana ipo vizuri na haitakusumbua.