Inawezekana kuchukua mikopo miwili kwa namna hii?

Gazaniga

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
1,051
Reaction score
360
Habarini wadau

Je inawezekana kama mtu alichukua mkopo ktk bank ya NMB na kulipa almost nusu ya mkopo na kuamua kuchukua tena mkopo mwingine (kiasi kidogo) ktk bank ya CRDB ikiwa hela inayobaki baada ya kulipa mkopo kule NMB ni kubwa?

Procedures za kufuata ni zipi?

Nashukuru.
 
Inawezekana kabisa asum basic yako ni 300 000, gawa kwa tatu = 100 000 hivyo laki moja hailuhusiwi kukopwa wala kukatwa, lazima ibaki baada ya makato yote, wakopeshaji wanacheza na laki mbili. Ambapo bima,kodi, vyama vya watumishi na mikopo vinagawana. Namaanisha 1/3 ya basic haikatwi, ila makato yote yanaangukia kwenye 2/3. Umenipata?
 
Pia unaruhusiwa kukopa kokote inategemea na mashariti ya mkopeshaji labda anaweza kutaka mshahala upitie kwake ndo ukope kama nmb ilivyo
 
Nakushukuru sana.
 
Pia unaruhusiwa kukopa kokote inategemea na mashariti ya mkopeshaji labda anaweza kutaka mshahala upitie kwake ndo ukope kama nmb ilivyo

Asante sana.
 
Back
Top Bottom