Inawezekana kufuta taarifa zako zote kwenye intaneti?

Inawezekana kufuta taarifa zako zote kwenye intaneti?

Internet?

Karibia niulize Internet ndio nini.

Hukuna uwezekano. ikitoka imetoka.

Na hata wale wanaosema wanafuta, hawana maana wanafuta kila kitu, ni kwamba wanafuta hizo taarifa ambazo wewe hutaki uzione.

Hili swali zuri sana kwa Maxence Mello.
 
Mtandao ni ulimwengu ukishajisajili habari yako yeyote unayoiweka mtandaoni haiwezi kufutika wala kupotea ndiyo imeshakuwa existed kwenye ulimwengu wa kimtandao.
 
Back
Top Bottom