Ndio inawezekana, sema upo chuo gani na unataka kwenda chuo kipi? Usiniambie upo st. John afu unataka kuhamia UDSM, hapo sahau ni ngumu sana. Lakini ni rahisi kuhama kutoka udsm kwenda St. John au Open university.
ni ngumu sana ndugu yangu labda uprospond mwaka ufanye application ya chuo unachokihitaji kwa mwaka mwingine