Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Inawezekana kabisa, amua kutoka moyoni kuacha dhambi halafu kaa mbali na kila kishawishi. Muombe MUNGU atakupa uwezo wa kushinda dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumtazama kwa kumtamaniHii ni vigum tena sana
Huenda hata dhambi tumeumbiwa kama yalivyo magonjwa
Biblia inasema hata kumtazama tyu mwanamke tayari umekwisha zini naye kwa macho!
Je kwa siku unatazama wangap????