Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Sep 17, 2018 #21 Inawezekana kabisa, amua kutoka moyoni kuacha dhambi halafu kaa mbali na kila kishawishi. Muombe MUNGU atakupa uwezo wa kushinda dhambi
Inawezekana kabisa, amua kutoka moyoni kuacha dhambi halafu kaa mbali na kila kishawishi. Muombe MUNGU atakupa uwezo wa kushinda dhambi
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Sep 17, 2018 #22 nikiona 🆔 yako namkumbuka class mate wangu anaitwa John Ndege
marandu2010 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2010 Posts 1,201 Reaction score 446 Sep 17, 2018 #23 Ronzobe B29 said: Hii ni vigum tena sana Huenda hata dhambi tumeumbiwa kama yalivyo magonjwa Biblia inasema hata kumtazama tyu mwanamke tayari umekwisha zini naye kwa macho! Je kwa siku unatazama wangap???? Click to expand... Kumtazama kwa kumtamani
Ronzobe B29 said: Hii ni vigum tena sana Huenda hata dhambi tumeumbiwa kama yalivyo magonjwa Biblia inasema hata kumtazama tyu mwanamke tayari umekwisha zini naye kwa macho! Je kwa siku unatazama wangap???? Click to expand... Kumtazama kwa kumtamani