Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa, Je inawezekana nikawa vizuri ktk kuongea ndani ya wiki 2 au mwezi mmoja?
Kama inawezekana ni wapi naweza kupata mafunzo ya lugha hii?
Shukrani nazitanguliza na majibu yenu ni muhimu sana.
CMimi nimejifunza kifaransa kwa muda wa miaka 2. Siamini hata kidogo kama unaweza jua hii lugha ya kilatini kwa majuma mawili au hata mwezi hata uwe genius kiasi gani! Maana maneno yake yanavyoandikwa ni tofauti na unavyotamka. Mfano: my name is Sambeke. Unasema je suis Sambeke, hii suis Inatakiwa" swi "
Chuo kizuri kiko arusha Kinaitwa alliance francaise Tanzaniene. Na hapa A town kuna watu wengi sana wanaongea kifaransa kizuri so unaweza kuimprove haraka. Bonjour et aurevoir........

Na sasa upo form gani? Alafu mbona una kichwa kigumu kama nazi ya kilwa kivinje? Yani miaka miwili ulipita kapa?Kama mie nilisoma kuanzia form 1 na 2 na bado cjaielewa vzr,ndo wewe uielewe ndani ya wk mbili?
CMimi nimejifunza kifaransa kwa muda wa miaka 2. Siamini hata kidogo kama unaweza jua hii lugha ya kilatini kwa majuma mawili au hata mwezi hata uwe genius kiasi gani! Maana maneno yake yanavyoandikwa ni tofauti na unavyotamka. Mfano: my name is Sambeke. Unasema je suis Sambeke, hii suis Inatakiwa" swi "
Chuo kizuri kiko arusha Kinaitwa alliance francaise Tanzaniene. Na hapa A town kuna watu wengi sana wanaongea kifaransa kizuri so unaweza kuimprove haraka. Bonjour et aurevoir........
na vp kuhusu kichina au kiarabu? ipi rahisi kujifunza kati ya hizo
Kama mie nilisoma kuanzia form 1 na 2 na bado cjaielewa vzr,ndo wewe uielewe ndani ya wk mbili?[/QUOTE/]
Pas d' accord!
Kama ulisoma lugha ya Kifaransa Makongo au Milambo sec schools huwezi ukakijua kumzidi mtu aliyesoma kozi hiyo kwa miezi miwili pale Alliance Francais (AF)!
Learning facilities pale AF ni za kutosha ili kumwezesha mwanafunzi kumudu lugha hiyo!
wapi naeza pata kozi ya arabic kwa dsm hapa