Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisoma miezi 8 hata salamu sijui kama najua
Mtafute Monsieur Manyasa huyu jamaa alisoma milambo Secondary KLF mwishoni mwa miaka ya tisini na baadae kujiunga UDSM, nilisikia anafanya kazi Duce, jamaa anaijua hiyo lugha, yaani ukikaa nae masaa mawili tu pase compose zote utakuwa umeelewa
Wadau,
Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa, Je inawezekana nikawa vizuri ktk kuongea ndani ya wiki 2 au mwezi mmoja?
Kama inawezekana ni wapi naweza kupata mafunzo ya lugha hii?
Shukrani nazitanguliza na majibu yenu ni muhimu sana.
hv ubalozi wa ufaransa kutakuwa hamna hii huduma kweli??!
Mi mwenyewe nilitoka kapa mbaya zaidi kuna swali lilikuwa linauliza ulikula nini? Mimi nikajibu nilikula hospitali.Ni maneno mawili tu ndo yalikua yamekaa kichwani nayo ni hopitale na ecole-SAUT.me ninejifunza mwaka mzima chuo pale SAUT na bado cjakujiua sembuse wk 2 tu, haiwezekani hata kwa kulala na vitabu vys France kitandani
hakuna kinachoshindikana mkuu,,akili ya binadamu ni zaidi ya uijuavyo