Hawa jamaa ni wahuni haijawahi tokea, hili shirika pia ni mwendelezo wa vijitaasisi vya kunyonya watumishi..
1. Hawatoi Bima zilizoiva kama walivyokubalina na wateja wao ilhali wakiendelea kuwakata fedha ktk mishahara yao. (Wana msemo wao " hatujapokea cheki toka makao makuu)
2. Ukitaka kujitoa wanakwambia tu andika barua ya kujiondoa, hawatokaa wakuondoe kamwe! Utafuatilia utachoka.
N.B watumishi mna vilio vingi sana vya makato ktk mishahara yenu, kwa nini mnajiingiza ktk mikataba mingine ya kinyonyaji kama hii (NIC) isiyona ulazima wowote?
Watumishi wapya, hasa wa kada za chini maana wengi ndio wateja wao, epukeni hiki kirusi kiachoitwa NIC.
Nina wadau wa karibu wanalia sana na hii taasisi!