Inawezekana kujitoa kwenye Bima ya NIC

Inawezekana kujitoa kwenye Bima ya NIC

Ramark

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
1,989
Reaction score
1,447
Tusaidiane kueleweshana ili kujua kama endapo tutawekeza kila mwez kwa miaka 10 na ukaamua kujitoa labda baada ya miaka mitano itawezekana?

Ikiwemo kupata salio na riba kwa muda wote huo?

Natumain JF ni kisima cha wazoefu mtanisaidia hili.
Karibun
 
Am interested with this..ngoja tusubiri maoni ya watu.Nina mtu ana shida ya kujitoa
 
Hawa jamaa ni wahuni haijawahi tokea, hili shirika pia ni mwendelezo wa vijitaasisi vya kunyonya watumishi..
1. Hawatoi Bima zilizoiva kama walivyokubalina na wateja wao ilhali wakiendelea kuwakata fedha ktk mishahara yao. (Wana msemo wao " hatujapokea cheki toka makao makuu)
2. Ukitaka kujitoa wanakwambia tu andika barua ya kujiondoa, hawatokaa wakuondoe kamwe! Utafuatilia utachoka.
N.B watumishi mna vilio vingi sana vya makato ktk mishahara yenu, kwa nini mnajiingiza ktk mikataba mingine ya kinyonyaji kama hii (NIC) isiyona ulazima wowote?
Watumishi wapya, hasa wa kada za chini maana wengi ndio wateja wao, epukeni hiki kirusi kiachoitwa NIC.
Nina wadau wa karibu wanalia sana na hii taasisi!
 
Nimeziona hii post Leo baada ya miaka mingi kupitia..I wish ningeiona zaman nisingejiunga...Mimi nimekuwa muhanga wa Hawa washenzi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kujiondoa anisaidie
 
Nimeziona hii post Leo baada ya miaka mingi kupitia..I wish ningeiona zaman nisingejiunga...Mimi nimekuwa muhanga wa Hawa washenzi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kujiondoa anisaidie
Waandikie barua wakutoe walishindwa kufanya hivyo washtaki mahakamani iwaamuru kukutoa...
 
Back
Top Bottom