Kwa kuwa kosa hilo si jinai wala madai, halihitaji RB wala Mahakama, bali ni la kinidhamu ndani ya jeshi, upo utaratibu ndani ya jeshi wa kushughulikia mambo kama hayo. Kijeshi askari huyo atathibitishwa kama amelewa kwa vifaa maalum then hatua za kinidhamu hufuata.

samahani wana JF naomba ufafanuzi wa kisheria kwa anayejua naweza kumfungulia mashitaka polisi akiwa na dalili za mtu aliyetumia kilevi na hasa pombe akiwa kazini na huku akiwa amevaa nguo za kipolisi na kama inawezekana ni utaratibu upi unatakiwa kufuatwa asanteni naomba kuwasilisha
asnte mkuu lakini sasa nikimuona anafanyakazi amelewa natakiwa nifanye nini kama raia mwema?