mbalila
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 824
- 161
samahani wana JF naomba ufafanuzi wa kisheria kwa anayejua naweza kumfungulia mashitaka polisi akiwa na dalili za mtu aliyetumia kilevi na hasa pombe akiwa kazini na huku akiwa amevaa nguo za kipolisi na kama inawezekana ni utaratibu upi unatakiwa kufuatwa asanteni naomba kuwasilisha