Inawezekana kuondoa network lock kwenye iphone?

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
466
Reaction score
273
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
 
Nawewe si utumie hiyo givey?

Nadhani haina shida kabisa.
 
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
Gevey ni kifaa tu kinabandikwa na Line pamoja huwa haina shida.

Na network lock inatoka inategemea na mtandao, sema nyengine hadi uwasiliane na mtandao husika ulipe deni.
 
Shukran Mkuu nimekuelewa,na vipi ukitumia Gevey haiwezi ikaathiri kwenye kupata OTA updates za simu husika?yaan utakapo download na ku install update haihitaji ku update na taarifa za hyo Gevey?
 
Hili sina uhakika, ila Common sense inaweza athiri, cha muhimu ni kupata forum ama support ya hao gevey kabla huja update uangalie kama ni safe.
 
Back
Top Bottom