Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 313
- 28
Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki.
Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya mafuta?
fundi kanisauri kuajiri watu wa kuchubua huo ukuta lakini nimeona ni ghali sana.
Msaada tafadhali
Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya mafuta?
fundi kanisauri kuajiri watu wa kuchubua huo ukuta lakini nimeona ni ghali sana.
Msaada tafadhali