asante sana mkuu...barikiwaAlokushauri siyo fundi tafuta fundi akushauri,, tulishawah kufanya ivyo kwenye nyumba yetu tulifanya vitu kama vitatu ivi
1-unapaka layer ya kwanza kama kusafisha ukuta
2- layer ya pili tulipaka binder ina act kama gundi
3- layer ya tatu unapaka rangi ya maji