inawezekana kupangwa form 5?

inawezekana kupangwa form 5?

stormryder

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
3,776
Reaction score
5,786
kama una div 3 .25,ulichaguliwa CBM,na una Credit 2 na d moja
 
Hivi kumbe siku hizi kuna combination ya CBM? Mulugo atakiangamiza hiki kizazi jamani duh!
 
Uwezekano upo subira inahitajika katika kipindi hiki
 
Back
Top Bottom