KnucleBreaker
Member
- Jan 10, 2022
- 21
- 29
Habari wakuu,
Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi.
Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza taarifa za mpokeaji au zangu mimi mmiliki? Je nikiweka taarifa za atayepokea kama Consignee, TRA hakutakuwa na shida kwenye kusajili kwa jina langu?
Nawasilisha