Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#1. Anayekutumia mwambie atumie app ya WORLDREMIT.Je naweza pokea muamala(Pesa) toka nje ya nchi kama ubelgiji au uholanzi
https://www.worldremit.com/en
Ok asante#1. Anayekutumia mwambie atumie app ya WORLDREMIT.
Code:https://www.worldremit.com/en
#2. Mpe namba yako ya simu viz: Tigo/Vodacom
#3. Atakutumia fedha na utapokea kwenye simu yako bila tatizo.
Hiyo ndiyo mitandao ya Uhakika zaidi. Prefer iwe M-PESA.Ok asante
Umetaja mitandao miwili
Kwa Airtel inawezekana?
WAMESHAKUPA MWONGOZO TAYARI MKUU.Ok shukrani sana
Je kuna kiwango cha juu ambach mtu anaweza tumiwa/pokea kwa njia hii ya WorldRemit?#1. Anayekutumia mwambie atumie app ya WORLDREMIT.
Code:https://www.worldremit.com/en
#2. Mpe namba yako ya simu viz: Tigo/Vodacom
#3. Atakutumia fedha na utapokea kwenye simu yako bila tatizo.
Inatumwa kwa USD etc na unapokea kwa TshsWanatuma kwa sh au usd? Kama used unabadilishaje? Au unatoaje?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app