Inawezekana kupokea pesa kwa njia ya simu kutoka nje ya nchi

#1. Anayekutumia mwambie atumie app ya WORLDREMIT.
Code:
 https://www.worldremit.com/en

#2. Mpe namba yako ya simu viz: Tigo/Vodacom

#3. Atakutumia fedha na utapokea kwenye simu yako bila tatizo.
Ok asante

Umetaja mitandao miwili

Kwa Airtel inawezekana?
 
#1. Anayekutumia mwambie atumie app ya WORLDREMIT.
Code:
 https://www.worldremit.com/en

#2. Mpe namba yako ya simu viz: Tigo/Vodacom

#3. Atakutumia fedha na utapokea kwenye simu yako bila tatizo.
Je kuna kiwango cha juu ambach mtu anaweza tumiwa/pokea kwa njia hii ya WorldRemit?
Na kama kipo ni kiasi gani interms of USD au TZS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…