Inawezekana kuripoti shuleni kabla ya tar.29?

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..
 
Inawezekana kabisa kwa sababu wenzenu f6 tayari wako shule.Mi nakumbuka niliripoti f5 tar 3 badala ya tar 10 baada ya kuchaguliwa kwenda uboysini pale Arusha.Ni jambo zuri kwani itakufanya kuyazoea mazingira mapema.
 
ok, thanks mkubwa..
 
Xubiri huje upewe 4 NA necta 2taona kama utakuw NA haraka ya kurct
 
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..

Utapachoka mapema na moto utakata unachezea harage ugali dona wewe tena acha kabisa.
 
Badala ukomae na tution huko mtaani,unakimbilia kwenda kula ugali maharage,mwenzio mie nilireport mwezi mmoja baada ya tarehe ya kureport kupita.afu dogo yaelekea we hata o-level umesoma shule ya day ndo maana una hamu sana na maisha ya boarding,shauri zako utachoka mapema,mashule yetu ya serikali hayana cha maana zaidi ya kula na kulala tu!
 
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..

mkuu umemiss maharagwe nn?! au unawahi mipango ya kwenda kuwa kiongozi wa jikoni??
 
Mkuu nadhan hujawah kupiga boarding, wenzako tulikuwa tunavuta hata mwez home upiga tution na ukirudi school ni mwendo wa kuwakimbiza tu, lakin hatuwez jua huenda dona na maharage umevimis sana.
 
mkuu umemiss maharagwe nn?! au unawahi mipango ya kwenda kuwa kiongozi wa jikoni??

Ha ha ha ha.. Mkuu umenikumbusha mbali sana, yani hiki cheo cha uongozi wa jikoni ni kizuri sana kuliko hata kuwa HP, kila mtu atakuona ww ni mungu mtu.
 
Hahahaa mkuu umenikumbusha kula na kula nilifanya hivyo karibu mwenzi mzima mpaka nikajiuliza niko Vacation au skonga ikabidi nichomoke nikapige tuition nje, sasa namshangaa chali sijui anawahi nini piga pindi kwanza home ndio unaibuka jina lako linafutwa usipoonekana ndani ya miezi mitatu.
 
Ha ha ha ha.. Mkuu umenikumbusha mbali sana, yani hiki cheo cha uongozi wa jikoni ni kizuri sana kuliko hata kuwa HP, kila mtu atakuona ww ni mungu mtu.

mkuu na mm nimekumbka haahaaa jikon ndo mpango mzimaaa ila ukawiì kupataa kupata zero kma ujielewi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…