Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisa kwa sababu wenzenu f6 tayari wako shule.Mi nakumbuka niliripoti f5 tar 3 badala ya tar 10 baada ya kuchaguliwa kwenda uboysini pale Arusha.Ni jambo zuri kwani itakufanya kuyazoea mazingira mapema.
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..
mkuu umemiss maharagwe nn?! au unawahi mipango ya kwenda kuwa kiongozi wa jikoni??
Badala ukomae na tution huko mtaani,unakimbilia kwenda kula ugali maharage,mwenzio mie nilireport mwezi mmoja baada ya tarehe ya kureport kupita.afu dogo yaelekea we hata o-level umesoma shule ya day ndo maana una hamu sana na maisha ya boarding,shauri zako utachoka mapema,mashule yetu ya serikali hayana cha maana zaidi ya kula na kulala tu!
Ha ha ha ha.. Mkuu umenikumbusha mbali sana, yani hiki cheo cha uongozi wa jikoni ni kizuri sana kuliko hata kuwa HP, kila mtu atakuona ww ni mungu mtu.