Inawezekana kusomea kozi Ya Madawa ya Binadam (PHARMACY)?

Inawezekana kusomea kozi Ya Madawa ya Binadam (PHARMACY)?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
matokeo ya Form 4
D ya CIVICS na KISWAHIL
C Ya ENGLISH NA HISTORY

Vp Anaweza Kusomea Pharmacy medical training courses?
Ahsanten Wadau
 
medical training courses kama unataka certificate inabidi uwe na D katika masomo ya chemistry,biology na physics
kama unataka diploma courses inabidi uwe na C na kuendelea katika masomo niliyotaja hapo juu
hii ni kwa kozi zote za afya
 
Duh!
Basi imekula Kwangu
Shukran Mkuu!
 
kama unapenda afya jipange urudie mitihani ya O level ujitahidi katika masomo hayo matatu vyuo vya afya vipo vya serikali na private
kila la kheri
 
Duh inavyoonyesha alisoma (arts) halafu kusoma hiyo pharmacy inatakiwa chemistry iwe ina dunda. Mi naona itakuwa ngumu
 
matokeo ya Form 4
D ya CIVICS na KISWAHIL
C Ya ENGLISH NA HISTORY

Vp Anaweza Kusomea Pharmacy medical training courses?
Ahsanten Wadau

Straightforward answer ni kwamba hawezi kabisa kwani sioni Chemistry hapo wala Biology, Maths, Physics.
 
Back
Top Bottom