Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,964 Reaction score 3,913 Oct 29, 2021 #1 Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
nelvine JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,112 Reaction score 1,871 Nov 2, 2021 #2 Bingwa Mara 4 said: Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni? View attachment 1990761View attachment 1990762 Click to expand... Gesi
Bingwa Mara 4 said: Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni? View attachment 1990761View attachment 1990762 Click to expand... Gesi
Simon Adebisi JF-Expert Member Joined Aug 7, 2018 Posts 1,224 Reaction score 2,337 Nov 3, 2021 #3 Mbona tayari watu wanatemgeneza mkuu... hzi pombe kali za buku mbili mbli zote ni gongo za kisasa... cuca sijui roboti sijui rivera na kitoko
Mbona tayari watu wanatemgeneza mkuu... hzi pombe kali za buku mbili mbli zote ni gongo za kisasa... cuca sijui roboti sijui rivera na kitoko