Inawezekana kweli kuishi bila social media?

Inawezekana kweli kuishi bila social media?

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Nauliza tu jamani,

Hivi mtu unaweza tumia mbinu gani kwa hali ya sasa Ukae mbali kabisa na kutumia Social media, yaani uweze kutumia simu ya kitochi tu!
 
100% inawezekana

Specially me; naweza huwa nilikuwa nikiingia school kupiga pindi msimu mzima situmii mitandao.. huwa mimi na pindi tu.. nafikiri kuwa bize na mambo yako tu
 
Nafkr inategemea na mtindo wako wa maisha, nmeshawai kukaa miaka miwili bila simu kabisa, minne bila mpenz wala sex,

Mim n mtu ambaye familia ikisema initenge, aisee mbona watantafuta wenyewe,..

Upweke sijui kuijitenga ndo Comfort zone yangu..
 
Nimeipenda hii,Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom