Em jaribu mwezi tuoneNauliza tu jamani,
Hivi mtu unaweza tumia mbinu gani kwa hali ya sasa Ukae mbali kabisa na kutumia Social media, yaani uweze kutumia simu ya kitochi tu!
Nimeipenda hii,Ubarikiwe.Nafkr inategemea na mtindo wako wa maisha, nmeshawai kukaa miaka miwili bila simu kabisa, minne bila mpenz wala sex,
Mim n mtu ambaye familia ikisema initenge, aisee mbona watantafuta wenyewe,..
Upweke sijui kuijitenga ndo Comfort zone yangu..