Inawezekana kweli?

Inawezekana kweli?

The MoNA

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
4,168
Reaction score
10,184
Wasalam ndugu zangu wa Tz na waafrika wenzangu.

Nimesoma kuhusu NAFSI ambayo ni pumzi aliyopuliza Mungu kwa mujibu biblia kwetu sisi watu.

Nimekuja kwenu kupata ufahamu zaidi kuhusu NAFSI.

1. Je, inawezekana kweli binadamu kukosa NAFSI na akawa anaishi? Au 2. Nafsi inaweza kufungwa na binadamu akaishi kama roboti (wengi tunajua maisha ya roboti)?

Kama jibu ni NDIO kwenye moja wapo ya hayo hapo juu, mimi nipo hapo.

Kama jibu ni NDIO, nini nikifanye kujitoa kwenye hali hii?

Kuishi pasipo kujisikia nafsini mwako, ni sawa upo gerezani hauna maamuzi ya uhuru japo unajua kuna uhuru.

Wasalam.
 
Nafsi = akili (mawazo), hisia, mwili (physical, motherboard), roho (vitality) = utu au mtu kamili.

Ukiondoa nafsi huna tena binadamu hapo, bali kitu kingine tofauti kabisa. Read good books on philosophy, utaelewa.

^Kujisikia^ ama ^kutojisikia,^ hiyo ni function ya hisia kwenye ubongo.
 
Back
Top Bottom