GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Vitu hutupwa yeah, mostly kama nyumba familia inahama kukuta baiskeli, TVs, viti nk ni jambo la kawaida sana.Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake.
Kwamba, ni kawaida kwa Marekani kukuta vitu vizuri vimetupwa, ambavyo vingefikishwa hapa Tanzania, vingeweza kuwa "mali". Magari, sofa, TV, laptop, n.k. ni kawaida kutupwa huko, wamiliki wake wanapokuwa wamezichoka.
Kama hayo ni kweli, kwa nini Watanzania wasiende kujikusanyia huko "mali" za bure na kuja kuziuza?
Kama umewahi kununua TV,Fridge etc used probably ushanunua vitu hivyo. Iko hivi, mtu akinunua kitu kipya cha zamani anaweka nje ambapo kuna watu huwa wanapita wanavikusanya wanaleta Africa kuuza tena. Vingine kuna watu kazi yao ni recycling wanapitia wanapeleka dump site. Kama uko US au Europe ukikuta kitu Kama hicho kwa mtu unaweza kuchukua na kwenda kutumia.Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya ni kwenda kunakotupwa vitu vilivyokwishatumika na kuvihamishia nyumbani kwake.
Kwamba, ni kawaida kwa Marekani kukuta vitu vizuri vimetupwa, ambavyo vingefikishwa hapa Tanzania, vingeweza kuwa "mali". Magari, sofa, TV, laptop, n.k. ni kawaida kutupwa huko, wamiliki wake wanapokuwa wamezichoka.
Kama hayo ni kweli, kwa nini Watanzania wasiende kujikusanyia huko "mali" za bure na kuja kuziuza?
Mkuu, ukienda kwa lengo hilo unachukua mzigo mkubwa hasa, unajaza makontena kadhaa unakuja kuuza kama mitumba Afrika!Mtu mwenye uwezo wa kusafiri kwenda Marekani hawezi akawa wa kuokota vitu majalalani