Inawezekana Mbeya City ni tabia yao!

Inawezekana Mbeya City ni tabia yao!

Benchi nzima la ufundi la yanga limeona na ndio limelalamika sana kama ungefatilia mpira vizuri hasa baada ya mechi kuisha wamemzunga sana mwamuzi... sijui ulikuwa umesinzia mkuu... afu kwa wachezaji ni vigumu sana kutambua maana wanaconcentrate mchezo zaidi....
 
Inamaana aliyeona ninnsajigwa tuu..hii ni kama hadithi za kutungwa
Aliyeona sio nsajigwa ni mashabiki wa yanga waliokuwepo mashariki ndo wakawaita viongozi wa yanga walokuwepo eneo hilo ndani ya senyenge na kuwapasha .

Viongozi hao ndo kutafuta njia ya kuelekea kule magharibi kwenda kuwajuzu viongozi .

Mpaka kuja kuzipata nsajigwa na nadhani na yeye hakupokea tu mpaka alihakikisha kama kweli wapo 11 ndo akaenda kwa kamisaa
 
Pumbafu sana mnategemea point za mezani! Yule jamaa aliyeingia walishatoa maelezo kwamba ni kweli aliingia dk ya 96 wakati bao tayari limeshasawazishwa. Ko alicheza sekunde 42 tu kabla Moira haujaisha. Hats hivyo refarii alifuatwa kuambiwa kwamba Luna mchezaji kazidi lkn wakati anaanangalia saa yake akaona isiwe tabu akamaliza Mpira. Acheni kulialia. Mnafikiri mkipewa hizo points ndo mtaifikia simba?
 
Back
Top Bottom