Aliyeona sio nsajigwa ni mashabiki wa yanga waliokuwepo mashariki ndo wakawaita viongozi wa yanga walokuwepo eneo hilo ndani ya senyenge na kuwapasha .Inamaana aliyeona ninnsajigwa tuu..hii ni kama hadithi za kutungwa
Umekula kwao tusubiri maamuzi ya kamati sijui ya masaa mangapi ije na uamuzi ila ni maajabu ya dunia na utoto huu