Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Chama ni watu na watu ni chama.
Mbowe na Genge lake Kwa kuwasikiliza tu ni watu wabinafsi, walotanguliza Mali , watu wasojali wanachama wao na gharama ambazo wanachama wanalipa...ndio Sababu kwao ni rahisi sana kununulika.
Hata hivo, CHADEMA itakufa Kifo cha Mende endapo LISSU ATAPOKONYWA USHINDI WAKE.
Wakati huohuo CCM watakua na hali mbaya sana endapo LISSU ATASHINDA Kwa sababu ndogo tu, Wagombea wa CCM walotangazwa Leo, HAWAKUBALIKI .
Hayupo Mgombea wa kujibu Hoja za LISSU au Heche !!
Na hii inaweza kutoa picha ni kwann ABDUL anatajwa.