Inawezekana mimi nikawa mentor mzuri ila sijajua kipawa changu

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Kwenye mada moja kwa moja.
Nikiwa form 4 nilikuwa na target zangu za kufaulu ili tu nikasome azania.

Katika masomo yangu nilikuwa nasoma masomo matano tu yale ambayo ni bookkeeping,commerce ,history ,civics na kisswahili nikajua kabisa hapa siwez kosa B flat na hayo mengine D tu zinatosha.

Sasa kulikuwa na kijana tulikuwa tunarudi wote mana anapokaa yeye na kwetu sio mbali alafu uwezo wake class nauna kabisa hauko vizuri.

Mimi nikaanza kumuandaa kisaikolojia kabisa mana nlikuwa naona huyu hatoboi lazima atakula div 4 au zero kali

Nikamwambia unajua jamaa haya maisha kinacho matter sana ni ujuzi kufaulu kwenda advance ni mbwembwe tu watu wanatafuta tu kuja kujiproud kwamba walifika form six lakin hawana maendeleo.

Sikiliza mwanangu ww pambana pata 4 yako nzuri somea fani yoyote mana ukiwa na fani maisha hayakupigi chenga hata siku moja.
Jamaa kamaliza form 4 kapata did 4 .kaenda veta kusomea umeme
Kaingia mtaani kafanya ufundi kaenda tena kusoma umeme na sasa hivi fundi mkubwa tu.

Jamaa ana drive ana nyumba za kutosha kwa sasa ni mtu mkubwa tu katika jamii.

Juzi kanicheki oyah mzee vip
Upo wapi niko province huku napambana .dah ebhana mimi nipo kitengo hapa muhimbili kwahiyo karibu mjini asee

Wapili
Huyu mwanangu na chawa wangu alikuwa na gamba moja na GPA kali .kapambana mtaani ila hold
Kuna kazi kaipata ya bank flani ila mshahara ni mdogo sana na ni mkataba tu kwa muda kwahiyo alikuwa anaona haina maslahi kabisa
MIMI SASA NIKAMWAMBIA SIKIA JAMAA FANYA HIYO KAZI HIVYO HIVYO MANA UNAKATAA MSHAHARA MDOGO WAKATI NDIO UNAJITAFUTA ? MAISHA INABIDI UANZIE CHINI MAISHA HATUANZI JUU ,WE FANYA HIVYO MANA NI RAHISI KUPATA CONNECTION UKIWA KAZINI KULIKO UKIWA KITANDANI. Hivi naandika hapa jamaa ana miaka miwili kazini sasa hivi anavaa tu suti na kubadilisha apartments

Nyingine nikiwa kazini nimekutafuta wafanya kazi wapale wanapata posho lakin hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kulewa na wanawake.

Nikaanza ushauri kwa mmoja mmoja wengie walinielewa ila wengine waliniona mshamba wakati nawashauri lakin walibadilika kimya kimya na kuanza kufanya vitu vya msingi sana

¹najivunia kuwabadilishia mitazamo watu wachache katika wengi.

Je kwahicho kidogo siwezi kuwa mentor nikajitangaza nikapata pesa.? Kama walivyo wakina kelvin kibenje,

NIITE NICOLAS BOUCHER TZ.
 
Weka na wewe ya kwako
 
Back
Top Bottom