kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Salamu wakuu.
Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live.
Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja inawezekana hawa jamaa msimu huu ndio huwa wana sales kubwa kuliko miezi yote.
Uzi tayari.