Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Sep 12, 2025 #2 Mwalimu aliipenda sana nchi yake
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Sep 16, 2025 #3 Mwalimu alikuwa ni mzalendo sana tu! Hilo halina shaka. Sema tu baadhi ya mapungufu yake ndiyo yamesababisha haya mauzauza tunayopitia kwa sasa.
Mwalimu alikuwa ni mzalendo sana tu! Hilo halina shaka. Sema tu baadhi ya mapungufu yake ndiyo yamesababisha haya mauzauza tunayopitia kwa sasa.