Inawezekana Mwalimu Nyerere ni mmoja wa binadamu wachache sana waliofika au kukanyaga ardhi ya nchi nyingi zaidi duniani

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Ni mmoja kati ya binadamu wachace kutembelea au kukanyaga ardhi ya karibu kila nchi hapa duniani,
Alipata kusoma nje ya nchi,Makerere kabla hajawa rais,
Akiwa Rais na akiwa mwenyekiti wa chama chake wakati wa chama kimoja,alisafiri nchi nyingi san hapa Duniani zilizo kwenye mabara ya Afrika ,Amerika,Ulaya,Asia na Australia.
Akiwa mwenyekiti wa OAU,alipata kusafiri sana kwa ajili ya shughuli za kiukombozi,
Tanzania ikiwa makao makuu ya nchi za mstari wa mbele katika ukombozi wa bara la Afrika alisafiri zaidi.
Alisafiri kwa shughuli za nchi za Jumuiya ya Madola,alisafiri kwenda kwenye vikao vya UNO sasa UN,
Alisafiri kwenda kwenye nchi Zisizofungamana na upande wowote,
Alisafiri kwa shughuli za SADEC,
Nyerere alisafiri zaidi alipoacha uraisi na kupendekezwa na nchi maskini za kusini ,south south commission kuwa mwenyekiti wa tume hiyo,hapa nyerere alitembelea nchi masikini na nchi tajiri ,kwa ajili ya shughuli za nchi hizo.
Ukifuatilia kwa idadi utaona hakuna nchi amabyo hakuitembelea alipokua hai,labda nchi mpaya kama Sudani ya kusini,hakuna Rais wa Tanzania wala Afrika wala Duniani aliyekanyaga karibu ardhi ya kila nchi hapa Duniani kumzidi Nyerere.
Ukitaka kujua haya usihesabu nchi amabazo ametembelea,hesabu nchi ambazo hajatembelea.
Kuna watu wamejaaliwa,
Walinzi na wasaidizi wake walikua wanabadilishwa marakwa mara,
Anaweza kuwa ni mmoja wa watu wa ajabu na kipekee kidogo.
Ni nchi gani hakuitembela au hakukanyaga ardhi yake!

baadhi ya nchi alizozitembelea, ni
UK,EST GERMAN,WEST GERMAN,FRANCE,ITALY,NORWAY,DENMARK,SWEDEN,HOLLAND,SWTZERLAND,YUGOSLAVIA,USSR,CHINA,USA,CUBA,JAMAICA,BRAZIL ARGENTINA,JAPAN,HUNGARY,POLAND,SAUDI ARABIA IRAN UAE,EGYPTY,ALGERIA,TUNISIA,GHANA,NIGERIA,MOZAMBIQ,ZAMBIA,ZIMBABWE,BOTSWAN,KENYA,UGANDA,INDIA,MALAYSIA,PAKISTAN,VENEZUELA,CHILE,ANGOLA,SUDAN,ETHIOPIA,TURKY,GREECE, ...
nitaendelea
 
hapo umeandika nini badala yakutuonesha kafika huku na huko then unaleta bla bla
 
Ni mmoja kati ya binadamu wachace kutembelea au kukanyaga ardhi ya karibu kila nchi hapa duniani,
Alipata kusoma nje ya nchi,Makerere kabla hajawa rais,
Akiwa Rais na akiwa mwenyekiti wa chama chake wakati wa chama kimoja,alisafiri nchi nyingi san hapa Duniani zilizo kwenye mabara ya Afrika ,Amerika,Ulaya,Asia na Australia.
Akiwa mwenyekiti wa OAU,alipata kusafiri sana kwa ajili ya shughuli za kiukombozi,
Tanzania ikiwa makao makuu ya nchi za mstari wa mbele katika ukombozi wa bara la Afrika alisafiri zaidi.
Alisafiri kwa shughuli za nchi za Jumuiya ya Madola,alisafiri kwenda kwenye vikao vya UNO sasa UN,
Alisafiri kwenda kwenye nchi Zisizofungamana na upande wowote,
Alisafiri kwa shughuli za SADEC,
Nyerere alisafiri zaidi alipoacha uraisi na kupendekezwa na nchi maskini za kusini ,south south commission kuwa mwenyekiti wa tume hiyo,hapa nyerere alitembelea nchi masikini na nchi tajiri ,kwa ajili ya shughuli za nchi hizo.
Ukifuatilia kwa idadi utaona hakuna nchi amabyo hakuitembelea alipokua hai,labda nchi mpaya kama Sudani ya kusini,hakuna Rais wa Tanzania wala Afrika wala Duniani aliyekanyaga karibu ardhi ya kila nchi hapa Duniani kumzidi Nyerere.
Ukitaka kujua haya usihesabu nchi amabazo ametembelea,hesabu nchi ambazo hajatembelea.
Kuna watu wamejaaliwa,
Walinzi na wasaidizi wake walikua wanabadilishwa marakwa mara,
Anaweza kuwa ni mmoja wa watu wa ajabu na kipekee kidogo.
Ni nchi gani hakuitembela au hakukanyaga ardhi yake!
Unadhani alimzidi hata Kikwete, mzee wa safari za nje?
 
Back
Top Bottom