Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ndio,Habarini wataalam,
Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
Okay, vipi kuhusu ile AVN numberNdio,
Kama vielelezo vyote vipo wewe omba.
Inategemea chuo ulicho somea. Kuna vyuo ambavyo matokeo yao yanawahi kupelekwa NACTE kabla dirisha la TCU halijafungwa. Hivyo muombaji anaweza kufanikiwa.Habarini wataalam,
Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
Hio wacheki CCM mkuu.Okay, vipi kuhusu ile AVN number
Ndio inawezekana.Habarini wataalam,
Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
Kwahiyo ulifanikiwa kuomba mkopo na ukapata et mkuu? Na vipi kuhusu chuo ulipata pia?INAWEZEKANA but Si lelemama, Inahitaji ushapu, uweledi na moyo wa dhati wa kujipambania katika future yako.. Nasema hvyo from my experience kwani mwaka Jana nilihitimu Diploma yangu na kuunga moja kwa Moja elimu ya juu....