Inawezekana mwanaume kumsomesha mpenzi wako ambaye ulisoma naye sekondari ikiwa wewe ulifeli yeye akafaulu?

Inawezekana mwanaume kumsomesha mpenzi wako ambaye ulisoma naye sekondari ikiwa wewe ulifeli yeye akafaulu?

Rahimu kiwani

Member
Joined
Jun 14, 2022
Posts
58
Reaction score
47
Nimeamua kuwaletea huu uzi wana jamii wenzangu, hebu na tuanze Katika maisha ya mwanadamu ya kila siku tunayashuhudia mengi sana hususani pale unapoanza kubale ndipo season inaanza.

Ukikumbuka ulipokuwa sekondari ulianza kukutana na watu tofauti tofauti kutoka maeneo au vijiji fulani fulani, ukizingatia katika umri huo wa miaka 13-14-15-18, ndipo huwa vijana wengi wanapo poteza dira na wengine ndipo wanapooneaha uhalisia wao wa maisha ya baadae.

Lakini kojana huyu kitu ambacho kinakua ni changamoto sana kwake ni pale anapoaanza kuwa na mahusiano na binti au mwanafunzi mwenzake Either mwanamke kwa mwanaume Nor mwanaume kwa mwanamke.

Hapo ndipo kunaanza kizaazaa cha kupotoka kwa tabia, walaakini kuna kati yao licha ya mtihani huo wa kukutana na mwanamke na kuanza mahusiano lakin bado anabaki ktk mstari juu ya masomo yake na mwengine baada ya kuanza hayo mambo ndipo anaharibika kabisa yaani ni [emoji91], sasa kijana kuanzia hapo anakua na njia mbili moja kuendelea na masomo kwa ustadi nzuri mbili kuendelea na masomo kwa ustad mfu.

Turudi ktk point je, inawezekana? Ulimwengu wa sasa matukio mbalimbali yanatokea na yanazidi kutokea je hivi kweli mwanaume unaweza kumsomesha mpenzi wako ambae ulisoma nae sekondari ila wewe ukafeli yeye akafaulu na baadae ulivyokua na uchumi wa wastani ukaamua kumsomesha mpenzi wako.

Je, inawezekana?

Naomba kufahamu hili [emoji120][emoji1241][emoji3578]
 
Akasomeshwe na baba yake....

Siwezi fanya huo ujinga....
 
Si Tulisha kataa huu ujinga au kwenye kikao ukuepo
 
Huna wadogo zako uwasomeshe?

Kama unataka msomi Kwa nini usiende kuchukua mwanamke aliyekwisha kusoma?

Kuna wanaume wanapenda kutafuta lawama Kwa wanawake na kuwaona Wabaya kumbe wao ndio wapumbavu.
 
Back
Top Bottom