Economist Jay
Member
- Feb 18, 2016
- 42
- 51
Unataka Tanzania yetu iwe na uzalishaji mkubwa wa ajira? Je, kuna watu wanakukatisha tamaa kisa hauna pesa? Usibabaike, njia pekee iliyowatoa wengi dunaini ni hii hapa;
1. Fanya utafiti mdogo kwenye jamii kugundua ni kipi kinapungua na watu wanakitaka.
2. Anzisha kitu chako kutokana na ulichoona kinahitajika katika jamii (bidhaa au huduma)
3. Fanya utafafiti Mdogo tena kuhusu kinachoendelea katika utumiaji wa hicho ulichoanzisha.
4. Kuwa mbunifu kuimarisha kile ulichoanzisha katika no. 2
5. Fanya kazi kwa bidii na kujituma hadi kufika hatua ya wewe mwenyewe kujitolea katika kilicho chako.
6. Furahia matunda ya kujituma kwako hapo kwenye chako ulichokianzisha.
7. Ajiri watu wakusaidie katika kazi
8. Fikiria kukikuza hicho unachokifanya.
9. Nenda kwa wengine wanaomiliki kinachofanana na unachokifanya, jifunze mazuri yao.
10. Waalike waje kukutembelea na kukupa ushauri.
11. Serikali ione ni katika hatua gani kwenye mtiririko huu inaweza kulegeza ili huyu mtu afike kwenye namba 2, 7 na 13?
13. Mwisho, umasikini wa kujitakia utaondoka.
Nchi yetu itaweza kuwa na fursa nyingi za ajira