The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
ha ha zile hatariiDunia ipo kasi sana na kuna zile nyungo za usiku ni balaa. Ikipita karibu yako utasikia fyuuuuuuu ishatokomea
mkuu acha kubisha kuna ndege zinaenda dodoma kwa dakika 5 tuu aminiDakika 5 sio kweli japo sijaenda Dom kwa flight bado. Hata Zanzibar Dar sio dak 5 ni almost 10 minutes kama nakumbuka last time nilivopanda
ndioUnamaanisha ndege za kijeshi?
Ni Aina gani ya ndege yenye uwezo huo? Kama vipi tuwekee picha yake angalau tupate elimumkuu acha kubisha kuna ndege zinaenda dodoma kwa dakika 5 tuu amini
ndege inachukua muda ku-gain speed inaporuka, na inapoelekea kutua inapunguza speed kwa hiyo nayo inakula muda. Pamoja na kwamba zina pull kubwaNi Aina gani ya ndege yenye uwezo huo? Kama vipi tuwekee picha yake angalau tupate elimu
Dakika 5 sio kweli japo sijaenda Dom kwa flight bado. Hata Zanzibar Dar sio dak 5 ni almost 10 minutes kama nakumbuka last time nilivopanda
Hayo mahesabu uliyopiga Kamanda Asiyechoka Kinuju na Idugunde the witch wametoka kapa kwasababu ni ma empty head yaliyokubuhu.Habari zenu wakuu,
Kuna kitu najiulizaga nakosa majibu kwakweli yaani dunia imefikia level ambayo kila kitu washamaliza kabisa, and ndo mwisho unakaribia?
Mimi hapa nilikuwa najiuliza swali dogo kabisa kuna ndege inatoka Dar mpaka Dodoma kwa dakika tano (5) ndio 5 na kuna gari inatembea kilometer 500km/h hapa sijajuliuza kuhusu nasa,roboti sophia, etc
Hebu twende kwa hesabu ndogo tu dakika moja ni sawa na sekunde 60 dakika tano ina sekunde 300 kutoka Dar mpaka Dodoma kuna kilometer 444km
Kwa hiyo hapo ukigawanya utapata 1.5km per sec kwa sekunde yaani kwa sekunde moja tu chombo kinatembea 1.5km inashangaza na kumbuka hizi ndege ni za zamani sio za kisasa sasa najiuliza hizi za kisasa inakuaje
Gari linakimbika 500km/h daaah
60*500 =30000sec = 0.0166km per sec daaah.
Dunia inashangaza
Not true at all,mkuu acha kubisha kuna ndege zinaenda dodoma kwa dakika 5 tuu amini