Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,861 Reaction score 9,909 Oct 26, 2026 #1 Km watekaji waliendesha muda mrefu kabla ya habari za kutekwa kwake kuja hewani basi watakuwa waliingia boda ya Somalia Barbara ya Uganda sidhan km watekaji walienda Ina checkpoint nyingi praying for you Twaha Ubaki hai
Km watekaji waliendesha muda mrefu kabla ya habari za kutekwa kwake kuja hewani basi watakuwa waliingia boda ya Somalia Barbara ya Uganda sidhan km watekaji walienda Ina checkpoint nyingi praying for you Twaha Ubaki hai
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Oct 26, 2026 #2 Mtu akitekwa kimafia hivyo ni vigumu kushtakiwa kwenye mfumo wa haki na SI ajabu asisikike tena. Maana akishtakiwa tz italeta mgogoro wa kidiplomasia.
Mtu akitekwa kimafia hivyo ni vigumu kushtakiwa kwenye mfumo wa haki na SI ajabu asisikike tena. Maana akishtakiwa tz italeta mgogoro wa kidiplomasia.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Oct 26, 2026 #3 Nchi la kifala kwa sababu ya kuwa na kiongozi haramu fala, yatapita tuu