Inawezekana Ole Sabaya "anaonewa" kweli

Kama si haki kwann mboe afungwe??
Ccm inacheza na ujinga wa watanzania na wamewekeza kwenye huo mradi kwa nguvu zoote.
 
Kama si haki kwann mboe afungwe??
Ccm inacheza na ujinga wa watanzania na wamewekeza kwenye huo mradi kwa nguvu zoote.
kaka kwa namna wale jamaa walivyofanyiziwa ni hatari mno lakini cha ajabu Jaji kakubaliana na hoja zote kwamba waliyotendewa ni sahihi ma ushahidi wa Kingai umepokelewa rasmi, kwa aibu Jaji kajitoa, sababu asingefanya hivyo Mbowe angemuomba asepe kwa kutokumwamini kitu ambacho ni aibu kwake na kwa taifa.

Kazi za kusimamia HAKI ni mbaya mno, ndiyo maana babu yangu alinizuia nisisomee u-hakimu na u-police... ni kazi mbaya sana.
 
Mkuu, serikali ya awamu ya sita haitamaliza awamu yake.
Amini,usiamini huo ndio ukweli.
 
Kila mtu anaugua ugonjwa wa akili kwa staili yake
Tunatofautiana kwenye udhihirisho tu nahisi!
 
Umeandika kitu kikubwa sana lakini wachache sana watakuelewa mkuu. Binafsi nimekupata vema, na kusema ukweli Maofsini wagonjwa wa akili ni wengi sana, yaani unakuta kiongozi anafanya kitu unabaki unajiuliza huyu kweli yuko timamu!

Mkuu nilikuwa mawaza pia
Kuna wana personality disorders
Tena kwa jamaa inaonekana iko kwenye familia kabisa
 
Mbowe afungwe kwa ground gani? Kesi ya Kubumba hiyo hukumu ikitoka wakienda mahakama ya rufaa asubuhi tu inafutwa.
 
Tundu Lissu naye ni miongoni mwa wagonjwa wengi viongozi tulionao nchini. Haijalishi tunampenda kiasi gani.
Tafiti zinaonesha kila Watz 4, basi Mtz mmoja ana matatizo ya akili.
Matatizo ya akili, sio lazima utembee bila nguo au ushinde jaani ( jalalani).
 


Kuna video ya Sabaya nimeiona leo mahakamani anamrushia kiss mchumba wake..
Sura yake sio Sura ya mtu mzima kiakili
 
Sabaya Lengai Ole ni magonjwa mtambuka toka chuo St.Johns sema tu mamlaka za uteuzi huwa hazifuatilii na hata ukizioelekea mean mezani hazitaki kusikiliza zinaona zimepatia.

To hint up, tabia zizo za mfanano huo kwa mtu aliyemjua au kusoma nae pale Dom Nasikia na nina uhakika hawezi kushangaa kamwe.

Sema tu mengi tulishaayandika humu na pengine, kwa sasa ni useless. Nachukia sana maandiko rejea yaliyopuuzwa mwanzo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
sasa tumgeukie mbowe,sabaya tumeshamalizana naye.
 


Akipeleka vyeti vyake mahakamani vya ugonjwa ...anaachiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…