GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Mafwele siyo polisi?Baada ya kuunganisha nukta, nimepata jibu kuwa huenda Polisi hawahusiki na utekaji nchini
1. Hawahusiki kuteka lakini wanajua utekaji upo!
2. Wanajua mtoa maagizo ya utekaji hivyo hawawezi kuingilia!
3. Wengine wanaumia kwa yanayoendelea lakini hawana la kufanya isipokuwa kuwatii wakubwa!
Kifupi ni kwamba polisi kama jeshi hawahusiki na utekaji na ndiyo maan amara zote wanatoa taarifa zinazokinzana... Ila Wapo maafisa wa polisi waliojumuishwa kwenye kikosi kazi cha kuteka, kutesa na kuua!Baada ya kuunganisha nukta, nimepata jibu kuwa huenda Polisi hawahusiki na utekaji nchini
1. Hawahusiki kuteka lakini wanajua utekaji upo!
2. Wanajua mtoa maagizo ya utekaji hivyo hawawezi kuingilia!
3. Wengine wanaumia kwa yanayoendelea lakini hawana la kufanya isipokuwa kuwatii wakubwa!