Inawezekana Rayvanny ana mkwanja mrefu sana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Inawezekana Rayvanny ana mkwanja mrefu saana.

Kama ameweza kukutana na watu kama akina Maître Gims sio kazi rahisi.

FB_IMG_1677725300639.jpg
.
 
Mkuu kwisha kumbe na wewe ni mshamba kiasi hiki doh!!!!!!
Huyo GIMS hamfikii hata diamond kwenye toto platfom nambas...
Ona huyu ndugu yangu una ni shangaza saana ivi unajua maître gims una mfahamu kidogo huyu maitre gims ndo msanii maarufu kuliko wote Ufaransa na nchi zote za kirmfaransa na baadhi ya nchi za wazungu

Pia maître gims ndo msanii tajiri kuliko wote Ufaransa kuliko wasanii wote wa Ufaransa
Labda wewe umekuja kumfahamu maitre gims hapa alipo imba na rayvanny sio
 
duh, leo ume-comment
 
Mkuu inawezekana ana pesa nyingi ila hata wasanii 5 matajiri ufaransa hata 10 hayumo
 
Fatilia maître gims ndiye msanii mwenye pesa nyingi Ufaransa na ndiye msanii maarufu kuliko wote Ufaransa
 
Ona huyu ndugu yangu una ni shangaza saana ivi unajua maître gims una mfahamu kidogo huyu maitre gims ndo msanii maarufu kuliko wote Ufaransa na nchi zote za kirmfaransa na baadhi ya nchi za wazungu

Pia maître gims ndo msanii tajiri kuliko wote Ufaransa kuliko wasanii wote wa Ufaransa
Labda wewe umekuja kumfahamu maitre gims hapa alipo imba na rayvanny sio
Nnachojua huyo ni mkongo kuhusu pesa ni kweli lakini Congolese na wabongo ni dam dam
 
Ona huyu ndugu yangu una ni shangaza saana ivi unajua maître gims una mfahamu kidogo huyu maitre gims ndo msanii maarufu kuliko wote Ufaransa na nchi zote za kirmfaransa na baadhi ya nchi za wazungu

Pia maître gims ndo msanii tajiri kuliko wote Ufaransa kuliko wasanii wote wa Ufaransa
Labda wewe umekuja kumfahamu maitre gims hapa alipo imba na rayvanny sio
Aisee hizi data huwa mnazitoa wapi mbona hata hamtumii akili kidogo kuzifanyia utafiti kabla ya kuzileta humu!?..

Hivi unadhani Maitre Gims ana hela kumzidi David Guetta!? Pale Ufaransa wasanii maarufu zaidi ni Edith Piaf,Nicolas Reyes,David Guetta hii ndio top three na hawa wanasikilizwa dunia nzima huku David Guetta akiwa ndio tajiri kuliko wote..

Huyo Maitre Gims audience yake sana ni jamii ya watu weusi wanaoishi ufaransa and other Francophone countries in Africa kwa sababu pia ana asili ya Congo Drc,Yeye na Dadju(msanii mwingine maarufu Ufaransa) baba yao ni mmoja anaitwa Djouna Djunana ni mwimbaji wa zamani wa bendi za muziki Congo za Choc stars ya mzee mzima Bozi Boziana na baadae alikuwa rafiki mkubwa wa JB Mpiana na Jibe amemtaja sana katika nyimbo zake sikiliza wimbo unaitwa "Walay Danico" wa Jb anatajwa mwanzo tu..

Maitre ni maarufu Ufaransa km nilivyokwambia na sio kwamba ni influential hapana ila tu ana umaarufu miongoni mwa jamii ya watu weusi ambapo anaweza hata akaja Arena na hiyo ni kawaida tu hata fally Ipupa ,Koffi Olomide,Werasson pia wanaweza kujaza uwanja vilevile..

Hitimisho la hili Maitre sio msanii tajiri kuliko wote pale Ufaransa ila ni miongoni mwa wasanii wakubwa Ufaransa
 
Ona huyu ndugu yangu una ni shangaza saana ivi unajua maître gims una mfahamu kidogo huyu maitre gims ndo msanii maarufu kuliko wote Ufaransa na nchi zote za kirmfaransa na baadhi ya nchi za wazungu

Pia maître gims ndo msanii tajiri kuliko wote Ufaransa kuliko wasanii wote wa Ufaransa
Labda wewe umekuja kumfahamu maitre gims hapa alipo imba na rayvanny sio
Narudia tena wewe ni mshamba na hujui kitu kuhusu GIMS..

Nenda spotify,audiomark na apple music..
jumlisha listener wote halafu rudi uje ubishe tena...hata mondi kamzidi gims
 
Mkuu kwisha kumbe na wewe ni mshamba kiasi hiki doh!!!!!!
Huyo GIMS hamfikii hata diamond kwenye toto platfom nambas...
Maitre Gims ...utajiri ni $16m
Diamond platnums ..utajiri $5.1m

Dogo anazidiwa utajiri mara 3 na Gims
 
Back
Top Bottom