zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Haahahaha umemaliza kila kitu hapo kwenye bold. Ni kweli kwa kiasi fulani dini zimeturudisha nyuma mana tunaongozwa na mahaba ya kiimani hata kwenye masuala yanayohitaji userious na ndio maana nashangaa China wasio endekeza dini wanatuzidi maendeleo sisi ambao 90% tuna diniMbona jibu rahisi tu angalia mtu akikosea China inakuwaje, North Korea, urusi, nk lakini, lakini kumbukumbu tu mimi tangu utoto nafundishwa mtu akikikukosa msamehe 7x70
Hivi Leo tunateswa na ufisadi, ingekuwa watu Hawa wana fanywa kama China pesa ngapi ingekuwa imeokolewa, hivi Leo umeme barabara ngapi, zingejengwa, shule nk